Hapa kazi tu ni wimbo wa kusifia mazuri yaliyofanywa na Rais wetu wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli katika kipindi hiki cha miaka mitano. Kama kijana mpenda maendeleo na mzalendo wa nchi yangu ya Tanzania nimeona sina budi kutumia kipaji changu na kutengeneza wimbo huu kwa kutumia beat na melodi za wimbo wangu wa Sikinai ambo ulifanya vizuri, kusema na kusifia yote mazuri yaliyofanywa na raisi katika serikali hii ya awamu ya tano kwa ushirikiano wa viongozi wengine katika Serikali. #HapaKaziTu #Magufuli #Tanzania+

Rating